Wizara ya afya ya Italia ilitangaza tahadhari nyekundu ya wimbi la joto katika miji 15 ikiwemo Milan na Roma Jumanne, na ...
Watoto wawili wamekutwa wamekufa ndani ya gari nchini Ufaransa huku sehemu kubwa ya Ulaya ikikabiliwa na joto kali na mamlaka za kitaifa zikichukua hatua kukabiliana na hali hiyo.
Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji.
Takribani watu 20 wameuawa na zaidi ya 450 kujeruhiwa na wimbi la pili la milipuko kutoka kwenye vifaa vya mawasiliano visivyo na waya nchini Lebanon, wizara ya afya ya nchi hiyo inasema. Simu za ...
Mamlaka wa afya wa Australia wako katika hali ya tahadhari wakati ushahidi ambao haujathibitishwa kupitia utafiti umedokeza kuwa XBB na BQ.1 zinachangia katika ongezeko ya kesi mpya za UVIKO kwa mara ...
Huku Ulimwengu mzima ukikabiliwa na athari ya mabadiliko ya tabia nchi,wanawake kaunti ya Bomet nchini Kenya wapo kwenye hatari ya kupoteza kitega uchumi kubwa ambacho ni uzalishaji wa wimbi.